Breaking News
Loading...

UTEUZI WA TRUMP WAINGIA DOSARI TENA PHILIP BILDEN AJIENGUA KWENYE UTEUZI

Share on Google Plus

Philip Bilden

Philip Bilden aliyeteuliwa na rais wa Marekani Donald Trump, kujaza wadhfa wa waziri wa jeshi la wanamaji amejiondoa baada ya kuonekana kukiuka sheria za taifa kuhusu mgongano wa maslahi.
Philip Bilden ameeleza wasiwasi wake kuhusu maisha yake ya usiri na changamoto alizokumbana nazo katika kujitenganisha na biashara zake.
Waziri wa usalama, Jim Mattis, amesema atampendekeza mtu atakayechukua nafasi ya Bilden katika kipindi cha siku chache zijazo.
Mteuliwa wa Rais Trump aliyependekezwa kusimamia jeshi la Marekani alijiondoa mapema mwezi huu
SOURCE: BBC

You Might Also Like

0 comments

About me

Like us on Facebook

MICHEZO

Blog Archive