BURUDANI
Nicki Minaj amtaka Trey Songz akanushe tetesi kuwa waliwahi kulala pamoja…
- Baada ya rapa Remy Ma kutoa diss kali kwa Nicki Minaj na kutaja majina ya mastaa tofauti, wengi wao wameanza kujitetea kuhusu tuhuma zao kwenye diss hio.
Nicki alichotaka Trey afanye ni kusema JAMBO HILO HALIJAWAHI KUTOKEA na sio kujibu kwa mafumbo ili kuendeleza stori hio….
Trey Songz anatajwa kwenye SHETHER kama mwanaume aliyewahi kuwa na mahusiano na Nicki Minaj na kwamba walilala pamoja mara moja tu >> “Only time you touched a Trigga was when you fucked Trey Songz / Coke head, you cheated on your man with Ebro.”<<
Trey anasema “I got respect for Nicki. Me and Nicki did work together,I got respect for Remy. But no matter what you heard, I ain’t never had sex with Nicki.”
Na kwenye twtter ameandika >>“Even when you stay out of the way they will have ya name all in some shit. Wake up to new comedy everyday. Focus,”
Jibu hili halikumridhisha Nicki Minaj ambaye kwenye twitter naye ameandika “Lol, Wut u SHOULD b saying is that it’s not true, seeing as it’s not. Real ni**az do real things. I done gotchu 6 million plaques.”
0 comments