Breaking News
Loading...

Masharti haya ya daktari yamepelekea Beyonce kusita kufanya show kwenye tamasha la Coachella…

Share on Google Plus


Sambaza Hii Kwa Marafiki
Pop staa Beyoncé ametangaza rasmi kutofanya show kwenye tamasha la Coachella.
Uamuzi huu umetokana na masharti ya daktari ya kutulia zaidi katika miezi hii ijayo akiwa anajitayarisha kujifungua mapacha ndio maana hatofanya show kwenye tamasha kubwa la muziki na sanaa la Coachella 2017.
Hivi karibuni Beyonce alifanya show akiwa na ujauzito kwenye tuzo za Grammy na kushangaza wengi ikiwa ni mara ya pili anafanya hivyo toka alivyopata mtoto wa kwanza.
Ila Beyonce amewatoa mashaka mashabiki wake kuwa atafanya show hio mwaka 2018
.

You Might Also Like

0 comments

About me

Like us on Facebook

MICHEZO

Blog Archive