BURUDANI
Ratiba ya 16 bora ya UEFA Europa League KRC Genk vs ? Man United vs ?
Baada ya kumalizika kwa hatua ya 32 bora ya michuano ya UEFA Europa League, Ijumaa ya February 24 katika mji wa Stockholm Sweden ilichezeshwa droo ya kupanga hatua ya 16 bora ya michuano hiyo, timu ya KRC Genk inayochezewa na Mbwana Samatta imepangwa kucheza na wapinzania wao KAA Gent.
KRC Genk imepangwa kucheza na KAA Genk zikiwa na timu zote zinazotoka Ubelgiji, hivyo ushindani wa game hiyo hautakuwa wa kawaida, Man United wao wamepangwa na FC Rostov ya Urusi
0 comments