BURUDANI
News Alert: G-NAKO NA JUX LEO KUACHIA NGOMA MPYA IITWAYO "GO LOW" ILIYOTENGENEZWA NA PRODUCER LUFFA
Leo masikio yote ya burudani yatakuwa TAYARI kwa ajili ya kusikia na kuona kichupa cha wimbo mpya wa G nako 'g-warawara' na Juma Jux'. Ngoma inakwenda kwa jina la GO LOW..
Jana kupitia mtandao wa kijamii wa instagram g nako aliandika katika ukurasa wake.. Ingawa mpaka sasa wasanii hao hawajasema ni muda gani na kituo gani wataachia ngoma yao lakini HABARI NI KUWA LEOOO SIO KESHO.

hata hivyo wiki iliyopita Msanii huyo wa muziki wa hip hop wa kundi la Weusi, G Nako alifunguka kuzungumzia ujio wake mpya akiwa na nyimbo mbili huku zote akipanga kuziachia ndani ya wiki mbili.
Rapper huyo aliiambia Bongo5 kuwa nyimbo moja kati ya hizo ni ile aliyofanya na muimbaji Jux.
0 comments