BURUDANI
MAPINDUZI MENGINE MAKUBWA KATIKA TASNIA YA MUZIKI WA BONGO FLAVA KATIKA VIDEO YA 'MARRY ME' YA DIAMOND PLATNUMZ FT NE-YO
IJUMAA ya tarehe 3 february Muimbaji wa kimataifa kutoka afrika mashariki yaani bongo land Nassib Abdul 'DIAMOND PLATNUMZ' aliichia rasmi video ya wimbo wake uitwao MARRY YOU alioshirikisha msaani Mkubwa na mwenye heshima kubwa katika tasnia ya muziki duniani kutoka marekani NE-YO kupitia ukurasa wake mpya wa youtube wa VIVA
BONYEZA HAPA...... KUTAZAMA VIDEO HII KWA HD
0 comments