BURUDANI
JE UMESHALIONA BALAA HILI JIPYA ? BEN POL SAMBAMBA NA WEWE KATIKA BURUDANI NA VIDEO YAKE YA 'MY PHONE'
BENARD PAUL 'Ben pol' ameamua kuachana na vikwazo vyote juu ya ngoma yake mpya 'my phone' 'iyaz' ambayo mwanzani ilipigia kelele na baadhi ya wasanii wakizusha uvumi kuwa beat na chorus ya wimbo huo ilikuwa ni za 'wizi' mwishoni mwa wiki ya kwanza ya mwezi huu wa pili BEN POL ameachia kichupa chake hicho kinachotajwa kuwa gumzo runingani....

usiondoke karibu nami nikupe habari zote hapa..
0 comments