Breaking News
Loading...

Kuachana kwa AKA na Bonang Matheba ilikuwa kiki tu

Share on Google Plus

Rapa kutoka Afrika kusini aliyeng’ara na rekodi yake ya ‘All Eyes On Me’ ametumia mbinu ya kutangaza kuachana na mpenzi wake Bonang Matheba ili kuongelewa zaidi na vyombo vha habari ikiwa ni njia rahisi ya yeye kutoa kazi yake mpya.

AKA amethibitisha hili kwa kusema ilikuwa kwaajili ya kutangaza Brand yake tu, mpango ulikuwa kutoa wimbo kwenye siku ya wapendanao ‘Valentine’s Day’ ila nikajua hio itakuwa wazi sana.
AKA anasema Bonang hakuwa na mpango wa kuniunga mkono kwenye kiki hilo sababu ni balozi wa Revlon for instance na kampeni yake kubwa ni kuhusu mapenzi.

You Might Also Like

0 comments

About me

Like us on Facebook

MICHEZO

Blog Archive