KITAIFA
JENGO LA GHOROFA NNE UDOM LA POROMOKA WANAFUNZI WAKIWA KWENYE MTIHANI
Mapema leo hii, jengo la madarasa ya wanafunzi wa chuo kikuu cha dodoma UDOM limeporomoka na hadi sasa hakuna taarifa za kujerujiwa ama kifo chochote katika tukio hilo.
Mmoja wa mashuhuda ameimbia blog hii kuwa tukio hilo lilitokea majira ya asubuhi, wakati wanafunzi wakiwa tayari kwa ajili ya mtihani. Aidha ripot zaidi zinaeleza kuwa hali hiyo ilitokea kukiwa hakuna mvua ama radi katika maeneo hayo.
0 comments