Breaking News
Loading...

TAMBIKO LA WACHAWI USIKU MZIMA KUMPINGA TRUMP

Share on Google Plus

Usiku wa manane siku ya Ijumaa, wale wanaoamini uchawi kote nchini Marekani, waliandaa matambiko yenye nia ya kumuondoa Trump uongozini.


Hadi sasa ukurasa wa Facebook wa matambiko huyo umepata wafuasi 10,500.

Hatua hizo zimezua ghadhabu kotoka kwa wakirsto ambao wamewalaumu wachawi hao wa kutangaza vita vya kiroho.


Wachawi hao wanapanga kurudia tambuko hilo hadi pale Trump atakapoondoka ofisini. Tambiko lingine litafanyika machi 26.

Chama cha wakiristo nacho kilitangaza tarehe 24 mwezi Februari kama siku ya maombi ya kuukabili uchawi huo.

Hata hivyo Trump hajazungumzia lolote kuhusu vita hivyo kati ya kanisa na uchawi
SOURCE : MUUNGWANA

You Might Also Like

0 comments

About me

Like us on Facebook

MICHEZO

Blog Archive