KITAIFA
TCRA kutoa elimu juu ya program ya kuhama mtandao bila kubadili namba
Mamlaka ya mawasiliano nchini TCRA imezindua programu ya elimu kwa umma kuhusu huduma ya kuhama mtandao mmoja wa simu kwenda mtandao mwingine bila kubadili namba ya simu ya kiganjani.
Mamlaka ya mawasiliano nchini TCRA imezindua programu ya elimu kwa umma kuhusu huduma ya kuhama mtandao mmoja wa simu kwenda mtandao mwingine bila kubadili namba ya simu ya kiganjani.
Mkurugenzi mkuu wa TCRA MHANDISI JAMES KILABA amesema elimu hiyo inalenga kuingia katika hatua ya kutumia namba moja kwa mtu mmoja kwa mitandao yote itakayoanza march mosi mwaka huu.
Naye mratibu wa programu hiyo FELICIAN MWESIGWA amesema mtumiaji wa mtandao mmoja anaweza kuhamia mtandao mwingine kwa kubonyeza namba 15080.
SOURCE;TBC
0 comments