BURUDANI
VIDEO: Mfahamu zaidi model aliyetokea kwenye video ya ‘Marry You’ ya Diamond na Ne-Yo
Model aliyetokea kwenye VIDEO ya Marry you ya Diamond na Ne-Yo anayefahamika kwa Jina la Jess Hearns alifanya interview yake ya kwanza Afrika Mashariki kwenye show ya THE PLAYLIST, Times FM Jumamosi iliyopita kwa njia ya simu akiwa LiVE kutoka LA, Marekani.
Alikutana na Maswali ya Kibabe ya Mnaymwezi Lil Ommy, host wa show hiyo na interview hii exclusive ilikuwa na historia yake, alivyokutana na Diamond mpaka kufanya VIDEO ya Marry you, Safari yake ya Afrika Kusini walivyoenda kuongeza tena vipande vingine vya video hii, experience yake, sehemu za video anazopenda na mastori kibao. Sikiliza hapo chini.
0 comments