BURUDANI
Beef linaendelea,Rick Ross kamtungia wimbo Birdman…
Rick Ross anaelekea kutoa album yake ya tisa iliyopewa jina ‘Rather You Than Me’ na tayari amefanya kampeni kubwa kwaajili ya ujio huo.
Ricky Rozay amefanya mahojiano na Billboard kuongelea baadhi ya rekodi kwenye album hio na imegundulika kuwa wimbo wa “Idols Become Rivals.” ni diss track kwa boss wa Cash Money ‘Birdman’.
Rozay anasema “Nina wimbo unaitwa ‘Idols Become Rivals’ unaongelea mtu niliyemkubali sana ila mambo yetu haya kwenda vizuri baadae”
Album ya Rather You Than Me inatoka March 17 ikiwa na wasanii kama Nas na Ty Dolla Sign
0 comments