Breaking News
Loading...

MAPEMA TU: DK.KIGWANGALLA' ASHTUKA KUMWAGIWA MBOGA KUHUSU MASHOGA

Share on Google Plus

Serikali ya Tanzania imesitisha kutangaza majina ya watu wanaoshukiwa kushiriki katika mapenzi ya jinsia moja hadharani.

Daktari Hamisi Kigwangalla, ambaye ni naibu waziri wa afya, ndiye amekuwa akisema kuwa majina hayo yangechapishwa, akisema kuwa wale wanaojitangaza mitandaoni kuwa wapenzi wa jinsi moja watakamatwa.
"Tulifuta mkutano wa waandishi habari. Hatutatangaza majina ya wale wanaojitangaza mitandaoni kwa sababu za kiufundi." aliandika kwenye mtandao wa Twitter.
Saa tatu baadaye alithibitisha kwa wafuasi wake kwenye Twitter kuwa, majina hayo yapo na utawala ulikuwa na lengo la kuyaweka hadharani.
Kisha baadaye tena akaandika kuwa ili kuzuia watu kuficha ushahidi, mbinu zao zimebadilika na umma utajulishwa jinsi wizara ya afya itaendesha zoezi hilo.

You Might Also Like

0 comments

About me

Like us on Facebook

MICHEZO

Blog Archive