Breaking News
Loading...

Hili ndio jibu la Jennifer Lopez kuhusu mahusiano yake na Drake

Share on Google Plus

Jennifer Lopez amefunguka kwa mara ya kwanza kuhusu mahusiano yake na rapper Drake.
Akiongea katika kipindi cha runinga cha Ellen, muimbaji huyo amekanusha kuwa na mahusiano na Drake kwa kusema kuwa hawezi kuwa na mahusiano na vijana.

“I don’t date younger men. It’s not like you have to be younger. It’s not about that. I just meet people and if I go out with them, I go out with them, and if I like them, I like them, and if I don’t, I don’t. It’s about the person. It’s about who they are. It has nothing to do with age,” amesema J.Lo.
Wakati huo huo Jennifer aliulizwa kama alikuwa pamoja na rapper huyo siku ya Valentine’s Day, alijibu kwa kusema, “No, he’s off on tour right now.”
J.Lo na Drake walianza kudaiwa kuwa na mahusiano tangu mwezi Disemba mwaka jana baada ya kuonekana katika maeneo tofauti tofauti wakiwa pamoja huku pia wakishirikiana katika wimbo ambao mpaka sasa haujatoka huku wakiwa wameusample kwenye wimbo wa ‘Superman’ wa DJ Black Coffee kutoka Afrika Kusini.

You Might Also Like

0 comments

About me

Like us on Facebook

MICHEZO

Blog Archive