Breaking News
Loading...

VIDEO : HANSCANA ACHONGANISHWA KWENYE BIFU LA ADAM JUMA NA RAMA DEE

Share on Google Plus


Muongozaji wa video Tanzania Hanscana amejikuta katikati ya beef la chini chini kati ya Adam Juma na Rama Dee baada ya post ya Rama kwenye IG yake kuhusu uwezo mkubwa wa Hanscana.




Post ya kwanza ya Rama Dee ilitrend zaidi kutokana na tafsiri potofu kuwa ilikuwa ni diss kwa Adam Juma ,ila baada ya saa chache Rama alinyoosha maelezo zaidi kwa posy ya Pili…
  
Hanscana azungumzia kuchanganywa kwenye beef la Adam Juma na Rama Dee na kusema wawili hawa waliwahi kufanya kazi pamoja na labda haikwenda vizuri ndio maana wanamatatizo yao.


You Might Also Like

0 comments

About me

Like us on Facebook

MICHEZO

Blog Archive