Breaking News
Loading...

LIVE KUTOKA TEGETA: Kituo cha Mafuta Chanusurika Kuteketea kwa Moto

Share on Google Plus







Kituo cha mafuta cha Petro kilichopo Tegeta Azania jijini Dar es Salaam, kinateketea kwa moto baada ya gari la kubebea mafuta lililokuwa likipakua shehena ya mafuta kituoni hapo, kupata hitilafu na kushika moto.
Moto huo mkubwa umesababisha barabara kufungwa, na kusababisha kukosekana kwa mawasiliano kati ya pande hizo mbili, huku Jeshi la Zimamoto na Uokoaji likiendelea na juhudi za kuudhibiti moto huo.
Taarifa zaidi zitakujia hapahapa, tayari timu ya AKISI TV  IKO eneo la tukio na muda si mrefu tunakuletea tukio zima live



IMEFICHUKA: MSAMI KWENYE MAHUSIANO MAPYA NA CHEMICAL ðŸ‘€


You Might Also Like

0 comments

About me

Like us on Facebook

MICHEZO

Blog Archive