Breaking News
Loading...

Usher Raymond ataja anachojutia kwenye maisha ya muziki wake,

Share on Google Plus

    Rnb staa Usher Raymond amesema moja ya vitu anavyojutia ni kutomshirikisha Chris Brown, enzi hizo akiwa msanii chipukizi.
Usher anasema “Najutia kitu kimoja kwenye kazi zangu kama msanii ni kuto msaidia mtu pale ambapo ningeweza, Chris aliletwa kwangu na timu yake wakitaka asikike kwenye album yangu ila timu yangu ilimkata, najutia hilo”
Chris amemshirikisha Usher kwenye nyimbo kama New FlamePartyBack To Sleep na Usher akimshirikisha mkali huyo kwenye ngoma kama All Falls Down

You Might Also Like

0 comments

About me

Like us on Facebook

MICHEZO

Blog Archive