BURUDANI
Hii video mpya ya Ariana Grande na John Legend ‘Beauty and The Beast’….
Ariana Grande na John Legend wametoa video yao mpya “Beauty and the Beast” ikiwa ni rekodi ya mwaka 1991 waliyofanya upya.
Rekodi hii iliwahi kufanywa na Celine Dion na Peabo Bryson mwaka 1991 na kushinda tuzo mbili za Grammys, Oscar moja na Golden Globe moja.
Filamu mpya iliyoigizwa ya “Beauty and the Beast” ikiwa na mastaa Emma Watson, Dan Stevens,na Ewan McGregorinatoka March 17.
0 comments