Breaking News
Loading...
,

Cristiano Ronaldo ameshinda tuzo yake ya 11 katika kipindi cha 2016/2017

Share on Google Plus

Staa wa kimataifa wa Ureno anayeichezea Real Madrid ya Hispania Cristiano Ronaldo ametangazwa mshindi wa tuzo ya mchezaji bora wa mwaka wa Ureno akiwashinda Pepe huku Renato Sanchez akishinda tuzo ya mchezaji bora mwenye umri chini ya miaka 21.
Ronaldo ametangazwa mshindi wa tuzo hiyo huku kocha wao wa timu ya taifa ya Ureno aliyowaongoza kushinda michuano ya Euro 2016 Fernando Santos kushinda tuzo ya kocha bora wa mwaka. Hii ni tuzo ya 11 ya Ronaldo toka 2016/2017 baada ya tuzo ya mchezaji bora wa Dunia wa FIFA aliyoichukua January 9 2017.
Tuzo ya mwanasoka bora wa dunia wa Globe Soccer Award kwa mwaka 2016 inakuwa ni tuzo ya 9 kwa Ronaldo kwa mwaka 2016, baada ya kushinda tuzo za mchezaji bora wa Ulaya, The World SoccerFour Four TwoEspyDi Stéfano AwardGoal.com awardFIFA Club Golden Ball na Ballon d’Or.
Fernando Santos
Renato Sanchez
ALL GOALS: Simba vs Yanga February 25 2017, Full Time 2-1

You Might Also Like

0 comments

About me

Like us on Facebook

MICHEZO

Blog Archive