Breaking News
Loading...

Tajiri Aliko Dangote kuwekeza kwenye muziki, Korede Bello apata shavu….

Share on Google Plus


Aliko Dangote hivi karibuni alikuwa na staa wa muziki kutoka Mavin Records Korede Bello ikiwa ni matayarisho kuelekea kutoka kwa album ya msanii huyu #Belloved mnamo March 11
Tunasubiri kusikia kiasi gani cha pesa Aliko atawekeza kwenye muziki wa Korede Bello.
Tajiri Afrika nzima Aliko Dangote ameonyesha nia ya kuwekeza kwenye muziki. Kama unakumbuka mwaka jana mfanya biashara huyu alionekana na P Square na kutengeneza vichwa vya habari kuhusu colabo hio

You Might Also Like

0 comments

About me

Like us on Facebook

MICHEZO

Blog Archive