MAKALA
SABABU ZA MWANAMKE KUWA NA MAUMIVU WAKATI WA TENDO LA NDOA NA MATIBABU YAKE
SABABU ZA MWANAMKE KUSIKIA MAUMIVU WAKATI WA TENDO LA NDOA/KUKOSA HAMU YA KUFANYA MAPENZI /KUTOKUFIKA KILELENI
Habari za leo ndugu msomaji wa AKISI BLOG , ni matumaini yangu unaendelea vizuri na kufurahia uwepo wa hii page kutokana na maswali niliyoyapata kutoka kwenu wasomaji nimeona ni vizuri nikalizungumzia hili swala hapa ili elimu hii iwafikie wengine, Mada yetu inasomeka hapo juu kwamba sababu za mwanamke kukosa hamu ya kufanya tendo la ndoa au kupata maumivu wakati wa tendo la ndoa kwa ufupi tatizo la kukosa hamu ya kufanya tendo la ndoa linawatokea Zaidi wanawake pasipo wao kutambua tatizo karibu asilmia 30%_45%ya wanawake wote wana matatizo haya huwa wanafanya tu tendo la ndoa kuwaridhisha waume zao na wao kutokufurahia tendo hili la kipekee hivyo huwa na tatizo hili ambapo kwa kitaalamu tunaita (LOW LIBIDO IN WOMEN)LOW LIBIDO NI NIN
I??? ~ni hali ya ukosefu wa hamu ya kufanya tendo la ndoa kwa wanawake na wanaume pia
~tatizo hili hutokana na sababu tofauti mfano uwiano mbaya wa homoni nk
~wanawake wengi wanasumbuliwa na tatizo hili pamoja na tatizo la kutofika Kileleni hata hvyo Mara nyingi ugonjwa huu husababishwa na mambo makuu mawili ambayo ni matatizo ya kimwili na matatizo ya kisaikolojia

TATIZO YA KIMWILI
~Kuna magonjwa mengi yanayosababisha tatizo hili mfano UGONJWA WA ANEMIA (UPUNGUFU WA SELI HAI NYEKUNDU ZA DAMU) hii ndio chanzo KIKUU cha tatizo hili kwasababu huambatana na upungufu wa madini ya chuma (iron) ambayo ndio hufanya kazi ya kuusisimua mwili na kuongeza hamu ya tendo la ndoa hii hutokana na Mara nyingi wanawake wanapokua katika hedhi huwa wanapoteza kiwango kikubwa cha madini ya iron ambayo hutolewa mwilin kupitia damu hvyo kuchangia kwa kias kikubwa kupoteza hamu ya kufanya tendo la ndoa pia madawa ya kulevya ni chanzo cha tatizo hili
~mwanamke anayekunywa pombe na kutumia madawa ya kulevya huwa anaondoa hamu ya kufanya tendo la ndoa pia mabadiliko ya mfumo wa homoni mwilini huchangia tatizo hili kwasababu mwanamke anapokua katika Hali ya kawaida uzalishaji wa homoni katika mwili wake huwa wa kawaida ila atakapokua ananyonyesha au mjamzito mwili huzalisha LUTEINSING HORMONE(HL)
👉matumizi ya madawa muda mrefu, kuna baadhi ya dawa zikitumika muda mrefu huondoa kabisa hamu ya kufanya tendo la ndoa
~Kuna magonjwa mengi yanayosababisha tatizo hili mfano UGONJWA WA ANEMIA (UPUNGUFU WA SELI HAI NYEKUNDU ZA DAMU) hii ndio chanzo KIKUU cha tatizo hili kwasababu huambatana na upungufu wa madini ya chuma (iron) ambayo ndio hufanya kazi ya kuusisimua mwili na kuongeza hamu ya tendo la ndoa hii hutokana na Mara nyingi wanawake wanapokua katika hedhi huwa wanapoteza kiwango kikubwa cha madini ya iron ambayo hutolewa mwilin kupitia damu hvyo kuchangia kwa kias kikubwa kupoteza hamu ya kufanya tendo la ndoa pia madawa ya kulevya ni chanzo cha tatizo hili
~mwanamke anayekunywa pombe na kutumia madawa ya kulevya huwa anaondoa hamu ya kufanya tendo la ndoa pia mabadiliko ya mfumo wa homoni mwilini huchangia tatizo hili kwasababu mwanamke anapokua katika Hali ya kawaida uzalishaji wa homoni katika mwili wake huwa wa kawaida ila atakapokua ananyonyesha au mjamzito mwili huzalisha LUTEINSING HORMONE(HL)

MATATIZO YA KISAIKOLOJIA
Matatizo haya hutokana na mazingira halisi tunayoishi na matukio mbalimbali ni ÷

UTAJIGUNDUAJE KAMA UNA TATIZO HILI???

UNAZO HIZO DALILI HAPO JUU

~JINSI YA KUJIKINGA NA MATIBABU YAKE
Matibabu yake hospital ni magumu kwani hakuna dawa maalumu na Zaidi hufanyika kupitia vipimo vya uchunguzi, historia ya mhusika pamoja na Dalili za magonjwa mbalimbali, pamoja na hayo tatizo hili unaweza kulidhibiti kwa kufanya yafuatayo

0 comments