Staa wa kimataifa wa Ureno anayeichezea Real Madrid ya Hispania Cristiano Ronaldo ametangazwa mshindi wa tuzo ya mchezaji bora wa mwaka wa Ureno akiwashinda Pepe huku Renato Sanchez akishinda tuzo ya mchezaji bora mwenye umri chini ya miaka 21. Ronaldo ametangazwa mshindi wa tuzo hiyo huku kocha wao wa...
Read More...