­
AKISI: 2017
Breaking News
Loading...

JINSI SHAMBULIO LA KEMIKALI NCHINI SYRIA LILIVYOFANYIKA

Jumuiya ya kimataifa imelaani shambulio linaloshukiwa kuwa la gesi ya kemikali dhidi ya mji unaodhibitiwa na waasi nchini Syria, shambulio linaloripotiwa kuua watu takriban 58. Shirika la kimataifa linalopambana na matumizi ya silaha za kemikali OPCW limesema linakusanya ushahidi. Naye mkuu wa sera za mambo ya nje ndani...

Read More...

WATU KUMI WAFARIKI DUNIA KWA MLIPUKO - URUSI

Takriban watu 10 wameuawa kufuatia milipuko iliyotokea kwenye vituo viwili vya treni ya chini ya ardhi mjini St Petersburg nchini Urusi. Mashirika ya habari yanaripoti kuwa milipuko hiyo ilitokea kituo vya Sennaya Ploschad na kingine kilicho karibu cha Tekhnologichesky Institut, kati kati mwa mji. Picha zilizowekwa kwenye mitandao...

Read More...

Canada aliyemuuliza mwanamke katika kesi ya ubakaji ''kwa nini hakuweka mapaja yake pamoja'' wakati wa tukio hilo amejiuzulu

Jaji mmoja kutoka . Robin Camp alijiuzulu baada ya kamati ya nidhamu kupendekeza kuwa afutwe kazi. Bwana Camp alisema kuwa alisikitishwa na matamshi yake lakini jopo la nidhamu lilisema liliona matamshi yake yalikosa hali ya kutopendelea na heshima. Waziri wa haki katika jimbo hilo amekubalia kujiuzulu kwake. Matamshi...

Read More...

,

Cristiano Ronaldo ameshinda tuzo yake ya 11 katika kipindi cha 2016/2017

Staa wa kimataifa wa Ureno anayeichezea Real Madrid ya Hispania Cristiano Ronaldo ametangazwa mshindi wa tuzo ya mchezaji bora wa mwaka wa Ureno akiwashinda Pepe huku Renato Sanchez akishinda tuzo ya mchezaji bora mwenye umri chini ya miaka 21. Ronaldo ametangazwa mshindi wa tuzo hiyo huku kocha wao wa...

Read More...

Nape Nnauye : Hili Likinishinda Hakika Nitajiuzulu

Waziri wa Habari, Utamaduni, Sanaa na Michezo Mhe. Nape Nnauye amesema endapo atashindwa kusimamia uhuru wa habari na vyombo vya habari nchini atakuwa hafai kubaki kwenye nafasi hiyo kwa kuwa atakuwa ameshindwa majukumu yake katika nchi huruNape ametoa kauli hiyo leo wakati akizungumzia na kulaani kitendo kinachodaiwa kufanywa...

Read More...

RC Makonda And Drug War: The Thin Line Between Right And Wrong

When I first heard the bold announcement from RC Makonda about the latest activation of the war against drugs, I tweeted a Kudos to him. I was happy (and part of me still is) that he had decided to take out the garbage. Someone has to do it....

Read More...

SABABU ZA MWANAMKE KUWA NA MAUMIVU WAKATI WA TENDO LA NDOA NA MATIBABU YAKE

SABABU ZA MWANAMKE KUSIKIA MAUMIVU WAKATI WA TENDO LA NDOA/KUKOSA HAMU YA KUFANYA MAPENZI /KUTOKUFIKA KILELENI  Habari za leo ndugu msomaji wa AKISI BLOG , ni matumaini yangu unaendelea vizuri na kufurahia uwepo wa hii page kutokana na maswali niliyoyapata kutoka kwenu wasomaji nimeona ni vizuri nikalizungumzia hili...

Read More...

MBWA MWENYE MDOMO WA AJABU AOLEWA MAREKANI.

Mbwa aliyetelekezwa na mmiliki wake kwa kuwa na mdomo ulio kombo ameokolewa. Mbwa huyo kwa jina Picasso aliokolewa pamoja na nduguye Pablo mjini Oregon nchini Marekani. Wawili hao walitupwa katika jumba moja la wanyama baada ya mmiliki wao kushindwa kuwauza. Walichukuliwa na mfugaji mwengine wa mbwa ambaye huwaokoa...

Read More...

''kwa nini haukufunga miguu wakati unabakwa?'' _Jaji amuuliza aliyebakwa Canada

Jaji mmoja kutoka Canada aliyemuuliza mwanamke katika kesi ya ubakaji ''kwa nini hakuweka mapaja yake pamoja'' wakati wa tukio hilo amejiuzulu.Robin Camp alijiuzulu baada ya kamati ya nidhamu kupendekeza kuwa afutwe kazi.Bwana Camp alisema kuwa alisikitishwa na matamshi yake lakini jopo la nidhamu lilisema liliona matamshi yake yalikosa...

Read More...

KOREA KUSINI: Mahakama imeidhinisha kuondolewa madarakani kwa rais Park Geun-hye

Mahakama ya katiba nchini Korea Kusini hatimaye imekubali kuondolewa madarakani kwa rais aliyekuwa amesimamishwa, Park Geun-hye, ambaye anakuwa rais wa kwanza kuchaguliwa kidemokrasia, kulazimishwa kuondoka madarakani.Majaji wa mahakama ya katiba kwa kauli moja wameidhinisha uamuzi wa bunge la nchi hiyo kumuondoa madarakani rais Geun-hye, kutokana na ushiriki wake...

Read More...

About me

Like us on Facebook

MICHEZO