KIMATAIFA
Kiongozi wa makampini ya SAMSUNG ashikiliwa kwa ubadhirifu nchini KOREA KUSINI
Waendesha mashitaka nchini KOREA KUSINI wanamshikilia kiongozi wa makampuni ya SAMSUNG kwa tuhuma za kuhusika na ubadhirifu fedha za serikali kupitia kwa rafiki wa aliyekuwa rais wa nchi hiyo PARK GEUN-HYE.
Kiongozi wa makampuni ya SAMSUNG, JAY Y LEE |
Waendesha mashitaka nchini KOREA KUSINI wanamshikilia kiongozi wa makampuni ya SAMSUNG kwa tuhuma za kuhusika na ubadhirifu fedha za serikali kupitia kwa rafiki wa aliyekuwa rais wa nchi hiyo PARK GEUN-HYE.
Wachunguzi hao walimhoji JAY Y LEE kwa saa 22 wiki iliyopita baada ya kufahamika kwamba kampuni hiyo ina kashfa ya rushwa.
Waandesha mashitaka hao wanamtuhuma LEE kwa kumlipa CHOI SOON SIL rafiki wa rais wa KOREA KUSINI, PARK dolla Bilioni 43 katika mazingira ya rushwa.
0 comments