November 7 2016 taifa la Tanzania limepata pigo kwa kupokea taarifa za kifo cha mbunge wa zamani wa Urambo na Spika wa bunge wa zamani mzee Samuel Sitta, baada ya taarifa hizo kuenea zimeripotiwa taarifa nyingine za klabu ya Azam FCkumpoteza aliyekuwa mwenyekiti wao Said Mohamed.Mzee Said Mohamed amefariki November 7 2016 akiwa anapatiwa matibabu katika hospitali...
Read More...Popular Posts
-
Uvaaji wa cheni au shanga kiononi kwa wanawake ni aina ya utamaduni ambao umekuwa ukipendwa sana na wanawake hasa wa pwani tangu miongo ming...
-
Kumekuwa na tabia au hali ya wanawake wengi kupiga kelele au unaweza kusema kutoa sauti wakati wakishiriki tendo la ndoa. Hali hii imeacha m...
-
SABABU ZA MWANAMKE KUSIKIA MAUMIVU WAKATI WA TENDO LA NDOA/KUKOSA HAMU YA KUFANYA MAPENZI /KUTOKUFIKA KILELENI Habari za leo ndug...
Powered by Blogger.
Social Counter
My Blog List
Comments
Social Share
Recent in Sports
.

..

Tezi dume (Prostate gland) ni sehemu mojawapo ya mfumo wa uzazi wa kiume. Inaundwa na sehemu mbili, lobes, ambazo zimeunganishwa na kufunikwa kwa nje kwa utando wa tishu. Tezi hii ipo mbele kidogo ya puru (rectum) na chini kidogo ya kibofu cha mkojo. Tezi dume inauzunguka mrija unaounganisha...
Read More...
Mwenyekiti wa Bunge, Mussa Zungu amekumbana na kibano cha wabunge baada ya wawakilishi hao wa wananchi kuzua zogo wakilazimisha shughuli za kikao cha sita ziahirishwe kuenzi kifo cha Spika mstaafu, Samuel Sitta.Sitta aliyewahi kuwa Spika wa Bunge la Tisa na pia Mwenyekiti wa Bunge Maalumu la Katiba, alifariki...
Read More...
RAIS wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi (SMZ), Dk. Ali Mohamed Shein amesema Mahakama ya Kimataifa ya Makosa ya Jinai (ICC), haina uwezo wa kuhoji uchaguzi wa visiwa hivyo.Aliwataka wananchi wa Kisiwa cha Pemba kupuuza taarifa kwamba kuna Serikali nyingine itaingia madarakani visiwni humo, badala yake...
Read More...
Leo October 5, 2016 nimeipata stori hii kutoka Bodi ya udhamini ya chama cha wananchi CUF kuhusu kufungua kesi mahakama kuu dhidi ya msajili wa vyama vya siasa nchini pamoja na Profesa Ibrahim Lipumba kwa madai ya kuingilia mamlaka ya chama hicho.Taarifa ya Wakili Nassor Juma imesema kuwa bodi ya udhamini ya...
Read More...
*MAMA MKWE* 👂🏾_Ilikuwa wakati wa mchana ambapo mume alirejea nyumbani akiwa na habari mbaya._*MUME:* _Mpenzi, nimepigiwa simu: Mama hajisikii vizuri. Tunaweza kwenda kumnunulia baadhi ya mahitaji kwa ajili ya kumtembelea?_```Tafadhali andika orodha ya mahitaji kisha tuondoke.```*MKE:* _Orodha ya vitu hivyo sio muhimu, tutanunua tu kabichi 2 na lita...
Read More...
HUU NDIO WIMBO AMBAO UNATABIRIWA KUMPA DIAMOND PLATNUMZ TUZO NYINGI ZAIDI
November 07, 2016 ibra 0 Comments NIFUATE KWA S_*🔗 Yuko wapi mtu jeuri na Kiburi kama FIRAON?*__*🔗 Yuko wapi leo hii Tajiri wa Matajiri kama Nabii SULEIMAN?*__*🔗 Yuko wapi mtu Mzuri na Mtanashati kama nabii YUSUF?*__*🔗Yuko wapi Mwanamke mrembo na Mdanganyifu kama DELILA*__*🔗 Yuko wapi leo hii kipenzi chake MUNGU (BABA WA IMANI) Nabii...
Read More...
DIAMOND PLATNUMZ NA NE-YO KUWEKA HISTORIA KUBWA KWA BONGO FLEVA UINGEREZA HII NI HATARI SANA..UNAAMBIWA HADI MALKIA ELIZABETH AMETANGAZA LIKIZO KWA WAFANYAKAZI WOTE WA TAIFA HILO KUBWA ILI WIKI HIYO YOTE WASHEREHEKEE SHOW KUBWA KUWAHI KUTOKA. DIAMOND PLATNUMZ NA NE-YO KUWEKA HISTORIA KUBWA KWA BONGO FLEVA UINGEREZA HII...
Read More...