Jumuiya ya kimataifa imelaani shambulio linaloshukiwa kuwa la gesi ya kemikali dhidi ya mji unaodhibitiwa na waasi nchini Syria, shambulio linaloripotiwa kuua watu takriban 58. Shirika la kimataifa linalopambana na matumizi ya silaha za kemikali OPCW limesema linakusanya ushahidi. Naye mkuu wa sera za mambo ya nje ndani...
Read More...Popular Posts
-
Uvaaji wa cheni au shanga kiononi kwa wanawake ni aina ya utamaduni ambao umekuwa ukipendwa sana na wanawake hasa wa pwani tangu miongo ming...
-
Kumekuwa na tabia au hali ya wanawake wengi kupiga kelele au unaweza kusema kutoa sauti wakati wakishiriki tendo la ndoa. Hali hii imeacha m...
-
SABABU ZA MWANAMKE KUSIKIA MAUMIVU WAKATI WA TENDO LA NDOA/KUKOSA HAMU YA KUFANYA MAPENZI /KUTOKUFIKA KILELENI Habari za leo ndug...
Powered by Blogger.
Social Counter
My Blog List
Comments
Social Share
Recent in Sports
.

..

Takriban watu 10 wameuawa kufuatia milipuko iliyotokea kwenye vituo viwili vya treni ya chini ya ardhi mjini St Petersburg nchini Urusi. Mashirika ya habari yanaripoti kuwa milipuko hiyo ilitokea kituo vya Sennaya Ploschad na kingine kilicho karibu cha Tekhnologichesky Institut, kati kati mwa mji. Picha zilizowekwa kwenye mitandao...
Read More...
KIMATAIFA
Canada aliyemuuliza mwanamke katika kesi ya ubakaji ''kwa nini hakuweka mapaja yake pamoja'' wakati wa tukio hilo amejiuzulu
April 04, 2017 ibra 0 Comments Jaji mmoja kutoka . Robin Camp alijiuzulu baada ya kamati ya nidhamu kupendekeza kuwa afutwe kazi. Bwana Camp alisema kuwa alisikitishwa na matamshi yake lakini jopo la nidhamu lilisema liliona matamshi yake yalikosa hali ya kutopendelea na heshima. Waziri wa haki katika jimbo hilo amekubalia kujiuzulu kwake. Matamshi...
Read More...
KIMATAIFA,
MICHEZO
Cristiano Ronaldo ameshinda tuzo yake ya 11 katika kipindi cha 2016/2017
March 21, 2017 ibra 0 Comments Staa wa kimataifa wa Ureno anayeichezea Real Madrid ya Hispania Cristiano Ronaldo ametangazwa mshindi wa tuzo ya mchezaji bora wa mwaka wa Ureno akiwashinda Pepe huku Renato Sanchez akishinda tuzo ya mchezaji bora mwenye umri chini ya miaka 21. Ronaldo ametangazwa mshindi wa tuzo hiyo huku kocha wao wa...
Read More...