­
AKISI: April 2017
Breaking News
Loading...

JINSI SHAMBULIO LA KEMIKALI NCHINI SYRIA LILIVYOFANYIKA

Jumuiya ya kimataifa imelaani shambulio linaloshukiwa kuwa la gesi ya kemikali dhidi ya mji unaodhibitiwa na waasi nchini Syria, shambulio linaloripotiwa kuua watu takriban 58. Shirika la kimataifa linalopambana na matumizi ya silaha za kemikali OPCW limesema linakusanya ushahidi. Naye mkuu wa sera za mambo ya nje ndani...

Read More...

WATU KUMI WAFARIKI DUNIA KWA MLIPUKO - URUSI

Takriban watu 10 wameuawa kufuatia milipuko iliyotokea kwenye vituo viwili vya treni ya chini ya ardhi mjini St Petersburg nchini Urusi. Mashirika ya habari yanaripoti kuwa milipuko hiyo ilitokea kituo vya Sennaya Ploschad na kingine kilicho karibu cha Tekhnologichesky Institut, kati kati mwa mji. Picha zilizowekwa kwenye mitandao...

Read More...

Canada aliyemuuliza mwanamke katika kesi ya ubakaji ''kwa nini hakuweka mapaja yake pamoja'' wakati wa tukio hilo amejiuzulu

Jaji mmoja kutoka . Robin Camp alijiuzulu baada ya kamati ya nidhamu kupendekeza kuwa afutwe kazi. Bwana Camp alisema kuwa alisikitishwa na matamshi yake lakini jopo la nidhamu lilisema liliona matamshi yake yalikosa hali ya kutopendelea na heshima. Waziri wa haki katika jimbo hilo amekubalia kujiuzulu kwake. Matamshi...

Read More...

About me

Like us on Facebook

MICHEZO